Tuesday, February 12, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: RATIBA, LEO HAPATOSHI RAUNDI YA MTOANO YA 16 - CELTIC vs JUVE, VALENCIA vs PSG


Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya Mashindano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI inaanza leo kwa Mechi mbili za kwanza kati ya Celtic v Juventus na Valencia v PSG na pia itaendelea kesho kwa Mechi mbili kati ya Real Madrid v Manchester United na Shakhtar Donetsk v Borussia Dortmund.
Raundi hii itakamilisha Mechi zake za kwanza Wiki ijayo na Marudiano yatachezwa kuanzia Machi 5.

Raring to go: Celtic train ahead of taking on Juventus on Tuesday night
Celtic wakifanya mazoezi tayari kwa mpambano wa leo jumanne usiku na Juventus

CELTIC v JUVENTUS

02/12
Celtic
v.
Juventus
-10:45 PM


02/12
Valencia
v.
PSG
-10:45 PM


02/13
Real Madrid
v.
Man. United
-10:45 PM


02/13
Shakhtar Do.
v.
Dortmund
-10:45 PM


02/19
Porto
v.
Málaga
-10:45 PM


RATIBA-MECHI ZIJAZO

Jumatano 13  Februari 2013
Real Madrid v Manchester United
Shakhtar Donetsk v Borussia Dortmund
Jumanne 19  Februari 2013
Arsenal v Bayern Munich
FC Porto v Malaga
Jumatano 20  Februari 2013
Galatasaray v FC Schalke
AC Milan v Barcelona

MARUDIANO
Jumanne 5 Machi 2013
Borussia Dortmund v Shakhtar Donetsk
Man United v Real Madrid
Jumatano 6 Machi 2013
Juventus v Celtic
Paris St George v Valencia
Jumanne 12 Machi 2013
Barcelona v AC Milan
Schalke v Galatasaray
Jumatano 13 Machi 2013
Bayern Munich v Arsenal
Malaga v FC Porto

Kumbuka mechi zote ni saa 4 na Dakika 45 usiku.