Sunday, October 13, 2013

RATIBA NA MATOKEO KOMBE LA DUNIA 2014-AFRICA, LEO NI VITA ETHIOPIA v NIGERIA, TUNISIA v CAMEROON...JUMANNE NI PATASHIKA GHANA NA EGYPT!!

KOMBE LA DUNIA 2014
AFRIKA
Raundi ya Mwisho ya Mtoano

MATOKEO:
Mechi za Kwanza:

Jumamosi Oktoba 12
Burkina Faso 3 Algeria 2
Ivory Coast 3 Senegal 1

RATIBA:
Mechi za Kwanza:
Jumapili Oktoba 13
16:00 Ethiopia v Nigeria
20:00 Tunisia v Cameroon

Jumanne Oktoba 15
19:00 Ghana v Egypt

Marudiano:
Jumamosi Novemba 16

18:00 Nigeria v Ethiopia
22:00 Senegal v Ivory Coast
Jumapili Novemba 17
17:30 Cameroon v Tunisia

Jumanne Novemba 19
19:00 Egypt v Ghana
21:15 Algeria v Burkina Faso
**KUMBUKA: Washindi 5 ndio watacheza Fainali za Kombe la Dunia kutoka Africa!!