Saturday, November 21, 2015

EL CLASICO..REAL MADRID 0 v 4 BARCELONA, SUAREZ, NEYMAR NA INIESTA WAIFANYIA KITU MABAYA REAL! ISCO NJE KWA RED CARD!

Bao la 4 limefungwa na Suarez tena na mtnange kumalizika kwa dakika 90 kwa bao 4-0 dhidi ya Timu ya Real Madrid. Isco alioneshwa kadi nyekundu na mwamuzi baada ya kumfanyia rafu mbaya Neymar katika muda wa kipindi cha pili mwishoni.Suarez akishangilia bao lake tenaNeymar na Suarez wakipongezanaIniesta..Neymar akifurahia bao lake la piliPongeziSuarez akijikubaliBale akipagawa!Suarez
Luis Suárez dakika ya 11 alifunga bao na dakika ya 39 Neymar aliipa bao la pili na mtanange kwenda mapumziko kwa bao 2-0 dhidi ya Timu ya Real Madrid. 

Kipindi cha pili dakika ya 53 Andrés Iniesta alifanya 3-0 na mambo kwenda vibaya kwa timu ya Real Madrid inayoongozwa na Meneja Rafael Benitez. Bao la nne limefungwa na Suarez na mtanange kumalizika kwa bao 4-0 dhidi ya Real Madrid.
Suarez akishangilia bao lake ndani ya dakika 10 dhidi ya timu ya Real MadridNeymar akishangilia bao lakeNeymar na Iniesta2-0 Neymar juuBale akikatiza...Shangwe na pongezi kwa kwenda mbele