Saturday, November 14, 2015

FULL TIME: ARGENTINA 1 v 1 BRAZIL, LUCAS LIMA AIOKOA NCHI YAKE...ASAWAZISHA BAO

Lucas Lima akishangilia bao lake baada ya kuisawazishia Brazil na mtanange kumalizika kwa 1-1 dhidi ya Argentina.