Saturday, November 14, 2015

FULL TIME: TAIFA STARS 2 v 2 ALGERIA


Shabiki wa Stars akishaingilia timu hiyo kwenye Uwanja wa Taifa leo wakati wa mchezo wa Kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia. (Picha na Francis Dande)

Mshabuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samata (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Algeria, Mandi Issa.

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Elias Maguli (kushoto) akishangilia na nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa kufuvu kucheza fainakli za kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.

Mshambuliaji wa taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akiwatoka wachezaji wa timu ya Algeria, Medjani Carl (kushoto), Taider Saphir (wa pili kulia) na Mandi Issa (kulia) katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.

Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Algeria, Ghoulam Faquzi.

Mshambuliaji wa Stars, Farid Musa akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Algeria, Zeffane Mehdi.

Benchi la Ufundi la Taifa Stars.

Benchi la Ufundi la Algeria.

Mwamuzi wa mchezo huo, Keita Mahamadou kutoka Mali akizongwa na mchezaji wa Algeria (kushoto).

Thomas Ulimwengu akimtoka kipa wa Algeria, M'bolhi Rais.

Samata akitafuta mbinu za kumtoka, Mandi Issa.