Tuesday, November 17, 2015

INTERNATIONAL FRIENDLY: ENGLAND 2 v 0 FRANCE, DELE ALLI NA WAYNE ROONEY WAIPA USHINDI ENGLAND.

Bao la kwnza limefungwa na Dele Alli dakika ya 39 kipindi cha kwanza na kipindi cha pili Wayne Rooney dakika ya 48.
Mchezo huu ukiongozwa na Mwamuzi Jonas Eriksson