Sunday, November 8, 2015

KOMBE LA SHIRIKISHO "FA": RWANKOMA JKT 1 v 3 VILLA SQUARD

Dakika ya 4 tu Villa Squard wanapata bao

Kipindi cha pili dakika ya 76 Rwankoma JKT walipata bao kwa mkwaju wa penati kupitia kwa James Biseko