Sunday, November 8, 2015

FULL TIME: ASTON VILLA 0 v 0 MANCHESTER CITY, VINARA CITY WABANWA MBAVU UGENINI VILLA PARK! MENEJA REMI GARDE


Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!
Meneja mpya Remi Garde
Chini ya Meneja mpya Remi Garde kwenye Mechi yake ya kwanza tu, Aston Villa Leo wamegangamala na kutoka Sare ya 0-0 na Vinara wa Ligi Kuu England Manchester City.
Mechi hii iliyochezwa Villa Park, Nyumbani kwa Ason Villa, Timu hiyo ambayo iko mkiani mwa Ligi ilijipanga vizuri kwenye Difensi na mara kadhaa kuitishia City wakati wakifanya kaunta ataki.

Meneja mpya  Remi Garde wa Aston Villa nae kashuhudia sare hiyo iliyokuwa ya aina yake Villa Park!Mashabiki wakionesha mfano wa nyoka juu wakimaanisha juu ya mchezaji Fabian aliyehamia City na leo kuonekana Uwanjani dhidi ya Timu yake ya zamani Villa.Kipa wa City Joe akipangua mpira kwenye eneo la hatariNavas akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga baoKompany akimiliki mpiraMeneja wa City akitoa maelekezo kwa wachezaji wake UwanjaniScott akimtoka KevinAyew na Kompany wakichuana vikaliKevin de B.
Meneja wa Aston Villa  Remi Garde
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Jumapili Novemba 8

16:30 Aston Villa v Man City
19:00 Arsenal v Tottenham

19:00 Liverpool v Crystal Palace