Wednesday, November 25, 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: SHAKHTAR DONETSK 3 v 4 REAL MADRID, CRISTIANO RONALDO AFUNGA BAO MBILI WAKIICHAPA SHAKHTAR KWAO! LUKA MODRIC NA DANIEL WATUPIA!

Cristiano Ronaldo dakika ya 18 aliipatia bao la kuongoza Real Madrid katika kipindi cha kwanza kwa kufanya 1-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk.
Luka Modric kipindi cha pili dakika ya 50 aliifungia bao la pili Real Madrid na kufanya bao kuwa 2-0.

Daniel Carvajal dakika ya 52 alifunga bao la tatu na kufanya 3-0 na la nne na la mwisho lilifungwa na
Cristiano Ronaldo dakika ya 70.

Shakhtar Donetsk walifunga bao zao kipindi cha pili dakika za mwishoni moja kupitia kwa Alex Teixeira kwa mkwaju wa penati dakika ya 77 na lingine dakika ya 83 kupitia kwa Dentinho.