Saturday, November 28, 2015

SPANISH PRIMERA DIVISIÓN: BARCELONA 4 v 0 REAL SOCIEDAD, NEYMAR, SUAREZ NA LIONEL MESSI WAICHINJA SOCIEDAD!

Bao za Barcelona limewekwa kimiani na Neymar dakika ya 22 bao la pili likifungwa na Luis Suárez dakika ya 41 na bao la tatu likifungwa na Neymar tena kipindi cha pili dakika ya 53 dhidi ya Timu ya Real Sociedad ambayo mpaka sasa haijapata kitu!

Bao la 4 la Barcelona limefungwa na Lionel Messi dakika za mwishoni.