Tuesday, November 24, 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL 3 v 0 DINAMO ZAGREB, OZIL NA ALEXIS SANCHEZ WAIBEBA ARSENAL KUSONGA MBELE!

Ozil akishangilia bao lake la kwanzaAlexis Sanchez nae akipeta baada ya kufunga bao la pili na kufanya 2-0. Alexis pia kipindi cha pili dakika ya 69 alipachika bao la tatu na kufanya 3-0.Pongezi kwa AlexisAlexis akiponggezwa..Shngwe mbele ya Mashabiki1-0Alexis Sanchez akifanya yake kwa kuachia shuti kaliPongezi kwa Ozil
BAO l kwanza la Arsenal limefungwa na Mesut Özil kipindi cha kwanza dakika ya 29 na Alexis Sánchez akaifungisia bao la pili dakika ya 33 baada ya kuongeza Mashambulizi kwenye lango la Timu ya Dinamo Zagreb na kuwabana kwa kubaki wakishangaa katika kipindi hicho cha kwanza.
Meneja Arsene WengerJoelKikosi cha Arsenal kilichoanza dhidi ya Dinamo Zagreb
Wachezaji wa Arsenal wakiingia VIKOSI:
Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Flamini, Cazorla, Campbell, Ozil, Sanchez, Giroud.
Akiba: Ospina, Debuchy, Gibbs, Gabriel, Ramsey, Chambers, Reine Adelaide.

Dinamo Zagreb: Eduardo, Ivo Pinto, Sigali, Taravel, Matel, Paulo Machado, Goncalo, Antolic, Pjaca, Rog, Fernandes.
Akiba: Mikulic, Soudani, Musa, Sovsic, Henriquez, Pavicic, Coric.
Refa: Viktor Kassai
Arsenal yawapasa washinde mechi hii!