Tuesday, November 24, 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE...BARCELONA 6 v 1 AS ROMA, LIONEL MESSI ARUDI NA MAKALI YA AJABU! AFUNGA BAO MBILI WAKIICHAKAZA ROMA BILA HURUMA!

LIonel Messi
Luis Suarez na Lionel Messi walifunga Bao 2 kila mmoja na nyingine kuingizwa na Gerard Pique na Adriano Correia na kuipa Barca ushindi wa 6-1 dhidi ya AS Roma .
Barca walijua washafuzu kabla ya Mechi yao kuanza baada ya Mechi nyingine ya Kundi E iliyoanza mapema kwisha 1-1 kati ya BATE Borislov na Bayer Leverkusen.

BAO za Barcelona zimefungwa na Luis Suárez 15, Lionel Messi 18, Luis Suárez 44, Gerard Piqué 56, Lionel Messi 59'
RATIBA/MATOKEO 

Mechi  kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku.
Jumanne Novemba 24

KUNDI E

BATE Borislov 1 v 1 Bayer Leverkusen
Barcelona 6 v 0 AS Roma
KUNDI F
Arsenal 3 v 0 Dinamo Zagreb
Bayern Munich 4 v 0 Olympiakos
KUNDI G
FC Porto 0 v 2 Dynamo Kiev
Maccabi Tel Aviv 0 v 3 Chelsea
KUNDI H

Zenit Saint Petersburg 2 v 0 Valencia
Lyon v KAA Gent
Jumatano Novemba 25


KUNDI A
Malmö FF v Paris St Germaine
Shakhtar Donetsk v Real Madrid
KUNDI B
20:00 CSKA v VfL Wolfsburg
Man United v PSV Eindhoven
KUNDI C
18:00 FC Astana v Benfica
Atletico Madrid v Galatasaray
KUNDI D
Borussia Mönchengladbach v Sevilla
Juventus v Man City