Saturday, November 28, 2015

VARDY FITI NA YU TAYARI KUUMANA NA MANCHESTER UNITED

Jamie Vardy tayari yuko fiti na leo hii kajipanga kuchezo mchezo ambao watawakaribisha Man United, Mchezo utakaopigwa usikuu huu saa 8:30.
bukobasports.com kukuletea live mchezo huo..