Saturday, November 21, 2015

FULL TIME: WEST BROMWICH 2 vs 1 ARSENAL, SANTI CAZORLA AKOSA PENATI LEO UGENINI THE HAWTHORNS! ARSENE WENGER AMSHANGAA KWA MUDA NA KUUMALIZA KWA KIPIGO!

West Bromwich Albion bao zake zimefungwa na
James Morrison dakika ya 35'
Mikel Arteta alijifunga bao dakika ya 40.

 Arsenal bao lake limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 28. Dakika za mwishoni Santi Cazorla amekosa penati na mtanange kumalizika kwa dakika 90 West Bromwich wakiibuka kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Timu ya Arsenal.Wenger akishangaa shangaa leo!
Arsenal walitangulia kufunga kwa Bao la Dakika ya28 la Olivier Giroud na WBA kusawazisha kwa Bao la Dakika ya 35 la Morrison na kisha kujifunga mwenyewe kupitia Mikel Arteta katika Dakika ya 40 na kuwapa uongozi wa 2-1 WBA.
Arsenal walipata Penati katika Dakika ya 82 baada ya Chris Brunt kumchezea Faulo Alexis Sanchez lakini Santi Cazorla akapaisha.
Nacho kwenye patashika!Hoi!Arsenal Chini...Hatari kwenye lango la Timu ya ArsenalGiroud akishangilia bao lakeShangwe!Giroud akishangilia..Alexis akimtoka Yakob