Monday, November 16, 2015

ZOEZI LA USAJILI WA WABUNGE LAENDELEA MJINI DODOMA

Baadhi ya Wabunge wakibadilishana mawazo katika Viwanja vya Bunge wakati wa zoezi la usajili wa wabunge linaloendelea mjini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Makambako Mh Deo Sanga akifanya usajili katika zoezi la usajili wa Wabuge linaloendelea katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Baadhi ya Wabunge wakibadilishana mawazo katika Viwanja vya Bunge wakati wa zoezi la usajili wa wabunge linaloendelea mjini Dodoma.
(Picha na Benjamin Sawe)