Saturday, December 5, 2015

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 0 - 0 WEST HAM UNITED


Meneja wa Manchester United  Louis van Gaal akitoka Uwanjani  Old Trafford baada ya kushindwa kutamba mbele ya Uwanja wao kwa kutoka sare ya 0-0 na West Ham.

Man United Wachezaji baadhi wakiwa hoi baada ya kutoka 0-0 na timu ya West Ham United.
Taswira kamili!
Wayne Rooney was absent due to an ankle injury but watched from the stands at Old Trafford