Saturday, December 5, 2015

FULL TIME: STOKE CITY 2 v 0 MANCHESTER CITY, MARKO ARNAUTOVIC AIFUMUA CITY


BAO 2 ndani ya Dakika 15 za kwanza zimewaua Vinara wa Ligi Kuu England Man City ambao walichapwa 2-0 na Stoke City huko Britannia Stadium.
Bao hizo zilifungwa na Marko Arnautovic Dakika ya 7 na 15 baada ya kutengenezewa na Xherdan Shaqiri.