Saturday, December 26, 2015

FUNGA MWAKA CONCERT NA DIAMOND NDANI YA DAR LIVE...ACHA KABISAA!


Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.Diamond akiwachombeza mashabiki. Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume. Akiongea na mashabiki.
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii. Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live. Mashabiki baada ya kupagawa na shoo. ...Akiongea na mashabiki wake. Akiwasalimia mashabiki.(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)