Monday, December 28, 2015

GUUS HIDDINK AFANYA MAZOEZI NA VIJANA WAKE....ASEMA LAZIMA TUICHAKAZE MAN UNITED KWAO LEO!

Azpilicueta  na Memba wa  Chelsea  ambaye ni Kocha pia wakiteta jamboWakikatiza Maeneo ya Manchester Hotel
Matic
John Terry akijinyoosha Viungo akiwa pamoja na Pedro

John Terry


Guus Hiddink nae alifanya mazoezi hayo leo


Msimamo ulivyo kwa sasa