Sunday, December 13, 2015

FULL TIME: ASTON VILLA 0 v 2 ARSENAL, GIROUD NA RAMSEY WAIPANDISHA KILELENI GUNNERS LEO!

Ramsey akishangilia bao lake huko Villa Park leoOlivier Giroud akishangilia bao lake la mapema kwa Arsenal dakika ya 8 alilolifunga kwa mkwaju wa penati, Bao la pili lilifungwa na Ramsey dakika ya 38 baada ya kuwatoka mabeki wa Aston Villa na Ramsey kufunga bao kwa kupewa pasi safi kutoka kwa Ozil