Monday, December 28, 2015

YANGA YAMTIMUA NIYONZIMA, PIA YADAI ALIPE DOLA 71000 KWA KUKIUKA MKATABA!

MABINGWA wa Tanzania Bara Yanga Leo wametoa taarifa rasmi ya kumfukuza Kiungo wao kutoka Rwanda Haruna Niyonzima kwa kosa la utovu wa nidhamu uliosababisha Mchezaji huyo kukiuka Vipengele vya Mkataba wake na Klabu hiyo.
Pamoja na kutimuliwa, Niyonzima pia ametakiwa kuilipa Yanga Dola 71,000.
Sakata la Niyonzima lilianzia pale Mchezaji huyo alipochelewa kurudi kambini Yanga mwanzoni mwa Mwezi huu baada ya kushiriki Mashindano ya Chalenji Cup huko Ethiopia akiwa na Nchi yake Rwanda.
SOMA TAARIFA KAMILI TOKA YANGA: