Monday, December 28, 2015

FULL TIME: ARSENAL 2 v 0 BOURNEMOUTH, GUNNERS HAOO KILELENI!


Kona ya Mesut Ozil ikiunganishwa na Kichwa cha Gabriel na Bao la Ozil limewapa Arsenal ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Bournemouth Uwanjani Emirates na kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England.
Uongozi huu wa Arsenal unaweza kudumu hadi Jumanne Usiku wakati Leicester City, wakiwa Nyumbani, watacheza na Man City na ushindi kwao utawatoa Arsenal kwenye usukani.
Gabriel Paulista kipindi cha kwanza dakika ya 27 alipachika bao na kuifanya Arsenal iongoze kipindi hicho cha kwanza.Ozil kwenye Patashika!Mesut OzilPer M. akipagawa baada ya kukosa bao la wazi leo hii usiku