Saturday, December 19, 2015

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 1 v 2 NORWICH CITY, KICHAPO CHAMUACHIA MASWALI MENGI VAN GAAL LEO! APOTEZA TENA AKIWA NYUMBANI OLD TRAFFORD!

Van Gaal sasa kwenye Matatizo baada ya Timu ya Man United kupoteza tena hii leo kwa bao 2-1  dhidi ya Norwich.Wachezaji baadhi wa Man United wakiwa hoi baada ya kupigwa bao la pili.Chelsea wafufuka leo mbele ya Meneja mpya Guus Hiddink kwa kuichapa bao 3-1 Sunderland huku United wakipoteza tena kwa kuchapiwa kwao Old Trafford bao 2-1.Jerome akiifunga bao Man United