Saturday, December 26, 2015

FULL TIME: SOUTHAMPTON 4 v 0 ARSENAL, WATAKATIFU WAFANYA KITU KIBAYA KWA WENGER!! WAWAKOSESHA KWENDA KILELENI KWA KUWAPA DOZI.


BAO za Southampton zilifungwa na Cuco Martina dakika ya 19, Bao la pili likafungwa na Shane Long dakika ya 55 na pia kipindi cha pili Jose Fonte aliongeza bao la tatu dakika ya 69 na bao la mwisho la nne likamaliziwa na Shane Long tena kwenye dakika za majeruhi dakika ya 90' +2 zikiwa zimeongezwa dakika 4 tu kipute kumalizika
.
4-01-0
WWW.BUKOBASPORTS.COM