Monday, December 28, 2015

MAN UNITED, CHELSEA WOTE BUTU...KUKUTANA LIVE USIKU HUU NDANI YA OLD TRAFFORD!

Van Gaal maji shingoni! Guus kujiuliza nae leo!Mmoja tayari kashatimua Kocha wake na tayari kashaleta Meneja Mpya, Man United Bado nao wako kwenye matatizo makubwa wakitaka kumtimua Meneja na leo hii mechi hii inawakutanisha uso kwa uso na Meneja Van Gaal tayari kashataka kusepa mwenyewe bila kufukuzwa.