Monday, December 21, 2015

MMILIKI WA KLABU YA CHELSEA NI KWELI ANATAKA KUMSHAWISHI DROGBA AWE MSAIDIZI WA MENEJA WAKE MPYA GUUS HIDDINK?

Drogba Akiwa na Meneja Hiddink pamoja na MMiliki wa Klabu hiyo ya Chelsea hivi karibuni ambapo Chelsea iliifunga Sunderland Bao 3-1.Kwa furaha wakiondoka Uwanjani watatu hao baada ya kupata Ushindi Darajani!