Saturday, December 19, 2015

CHELSEA 3 v 1 SUNDERLAND

2-0Branislav Ivanovic dakika ya 5 tu aliishaipachikia bao la kuongoza Chelsea, Pedro amefunga bao la pili dakika ya 13 na kufanya 2-0 dhidi ya Sunderland.Ivanovic kaanza kuipatia bao mapema Chelsea...sasa ni 1-0Baada ya Chelsea kumtimua Kocha wake Jose Mourinho sasa Mashabiki watazamwa kwa macho matatu!