Monday, December 28, 2015

PUNDE...LIGI KUU ENGLAND KUENDELEA...LEO MECHI ZAKE ZA MWISHO WA MWAKA 2015. CHELSEA WAWATAMBIWA WENZAO MAN UNITED KUWATANDIKIA KWAO!

Leo zipo Mechi 8 na Jumanne ndio ile Mechi yenyewe wakati Leicester City wakiikaribisha Man City wakati Jumatano Mechi hizi za funga Mwaka zikikamilika huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Liverpool.
Leo, katika Mechi hizo 8, mvuto mkubwa kwa Mashabiki ni kule Emirates Jijini London na kule Old Trafford Jijini Manchester.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA

Jumatatu Desemba 28

18:00 Crystal Palace vs Swansea
18:00 Everton vs Stoke
18:00 Norwich vs Aston Villa
18:00 Watford vs Tottenham
18:00 West Brom vs Newcastle
20:30 Arsenal vs Bournemouth
20:30 Man United vs Chelsea 
 20:30 West Ham vs Southampton 
Jumanne Desemba 29
22:45 Leicester v Man City
Jumatano Desemba 30
22:45 Sunderland v Liverpool.