Saturday, December 12, 2015

RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI IKULU LEO

Mawaziri wakisubiri kuapishwa na Rais John Magufuli, ikulu jijini Dar es salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (TAMISEMI, Utumishina Utawala Bora) George Simbachawene akiteta na Waziri wa katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe kablaya kuapishwa na Rais John Magufuli, Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mawaziri wakisubiri kuapishwa na Rais John Magufuli, ikulu jijini Dar es salaam.

Mawaziri wakisubiri kuapishwa na Rais John Magufuli, ikulu jijini Dar es salaam.

Mawaziri wakisubiri kuapishwa na Rais John Magufuli, ikulu jijini Dar es salaam.

Mawaziri na Naibu Mawaziri wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuapishwa na Rais John Magufuli, Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12, 2015. Kutoka kushoto ni Wairi wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa , Dkt.Hussein Mwinyi, Naaibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Anastazia Wambura na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Hamis Kingwangwala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais John Magufuli akimwapisha, Profesa Makame Mbarawa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)