Monday, December 28, 2015

RATIBA LIGI KUU ENGLAND LEO JUMATATU ZIKIWA ZA FUNGA MWAKA 2015, MAN UNITED v CHELSEA USIKU LEO! DIEGO COSTA NJE! BASTIAN NA ROONEY NDANI..KUANZA!

LEO LIGI KUU ENGLAND inaanza Mechi za mwisho kwa Mwaka 2015 ambazo pia ni za 19 kwa kila Timu ambazo ni Nusu ya Mechi za Msimu wote huku kileleni ikiwepo Timu isoyotarajiwa Leicester City ikifuatwa na Arsenal na Manchester City.
Mabingwa Watetezi, Chelsea, wao wametupwa mbali wakiwa Nafasi ya 15, Pointi 19 nyuma ya Leicester City, na hivyo kuonekana hawamo tena kwenyi resi hii ya Ubingwa.

Leo zipo Mechi 8 na Jumanne ndio ile Mechi yenyewe wakati Leicester City wakiikaribisha Man City wakati Jumatano Mechi hizi za funga Mwaka zikikamilika huko Stadium of Light kati ya Sunderland na Liverpool.
Leo, katika Mechi hizo 8, mvuto mkubwa kwa Mashabiki ni kule Emirates Jijini London na kule Old Trafford Jijini Manchester.

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA

Jumatatu Desemba 28

18:00 Crystal Palace vs Swansea
18:00 Everton vs Stoke
18:00 Norwich vs Aston Villa
18:00 Watford vs Tottenham
18:00 West Brom vs Newcastle
20:30 Arsenal vs Bournemouth
20:30 Man United vs Chelsea 
 
20:30 West Ham vs Southampton 
Jumanne Desemba 29
22:45 Leicester v Man City
Jumatano Desemba 30
22:45 Sunderland v Liverpool
Jumamosi Januari 2
15:45 West Ham v Liverpool
18:00 Arsenal v Newcastle
18:00 Leicester v Bournemouth
18:00 Man United v Swansea
18:00 Norwich v Southampton
18:00 Sunderland v Aston Villa
18:00 West Brom v Stoke
20:30 Watford v Man City