Thursday, December 24, 2015

REBECCA MALOPE AWASILI DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA KRISIMASI


Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope akiwapungia mkono mashabiki wake mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya tamasha la Krisimasi litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama. (Picha na Francis Dande)

Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope vishwa skafu na mwakilishi wa Kampuni ya Dira, Samia Mussa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha hilo, Alex Msama.

Akivishwa Skafu.

Glory Katunzi akimkabidhi maua Rebecca Malope.

Rebbeca Malope akionyesha furaha yake baada ya kuwasili.

Akiimba moja ya nyimbo zake.