Saturday, December 12, 2015

SIMBA, AZAM FC ZATOKA SARE YA 2-2


Mshambuliaji wa pembeni wa Azam FC, Abubakar Salum akichuana na kiungo wa Simba Justine Majabvi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimefungana bao 2-2. (Picha na Francis Dande)

Shomari Kapombe akimtoka Said Ndemla.

Wachezaji wa akiba wa timu ya Simba pamoja na viongozi wao wakishangilia bao la timu yao.

Hekaheka latika lango la Azam FC.

John Bocco akimiliki mpira.