Sunday, December 13, 2015

TOTTENHAM HOTSPUR 1 v 2 NEWCASTLE UNITED, AYOZE PEREZ AIPA USHINDI LEO NEWCASTLE NA KUIPA MATUMAINI YA KUJINASUA MKIANI!

Tottenham Hotspur 1, Newcastle United 2. Ayoze PĂ©rez wa Newcastle United dakika ya 90 anaipatia nao la ushindi Newcastle United na kufanya 2-1 dhidi ya Spurs.

Tottenham Hotspur 1, Newcastle United 1. Aleksandar Mitrovic wa Newcastle United anaipa bao la kusawazisha na kufanya bao kuwa 1-1 dakika ya 74.

Eric Dier kaifungia bao Spurs dakika ya 39 na kuwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Newcastle United.Wachezaji wa Newcastle wakishangilia ushindi wao dakika za lala salam