Monday, December 14, 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: DROO YA RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16 LEO!

DROO ya kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI inafanyika Mchana Leo huko Nyon, Uswisi.
Katika Droo hiyo vipo Vyungu Viwili na cha kwanza ni kile cha Washindi wa Makundi ambao watapangwa na Mpinzani kutoka Chungu cha Pili cha Timu zilizoshika Nafasi ya Pili kwenye Makundi yao.
Lakini, Klabu kutoka Nchi moja na zile zilizokuwa Kundi moja haziwezi kupambanishwa.
Pia, Klabu za Urusi na zile za Ukraine haziwezi kukutanishwa kutokana na uamuzi wa UEFA.
Kanuni hizo za UEFA zinamaanisha Arsenal itazikwepa Manchester City, Chelsea na Bayern Munich.


CHUNGU NA. 1:
-Washindi wa Makundi:
Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

CHUNGU NA. 2:
-Washindi wa Pili wa Makundi:
Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Roma, Arsenal, Dynamo Kiev, Ghent

Klabu na Wapinzani wanaoweza kukutanishwa nao:
-Washindi wa Makundi:

Real Madrid: PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Roma, Arsenal, Dynamo Kiev, Ghent
Wolfsburg: Paris Saint-Germain, Benfica, Juventus, Roma, Arsenal, Dynamo Kiev, Ghent
Atletico Madrid: Paris Saint- Germain, PSV Eindhoven, Juventus, Roma, Arsenal, Dynamo Kiev, Ghent
Manchester City: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Roma, Dynamo Kiev, Ghent
Barcelona: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Arsenal, Dynamo Kiev, Ghent
Bayern Munich: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Roma, Dynamo Kiev, Ghent
Chelsea: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Roma, Ghent
Zenit St Petersburg: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, Roma, Arsenal, Dynamo Kiev

-Washindi wa Pili wa Makundi:
Paris Saint-Germain: Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

PSV Eindhoven: Real Madrid, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

Benfica: Real Madrid, Wolfsburg, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

Juventus: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

AS Roma: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Bayern Munich, Chelsea, Zenit St Petersburg

Arsenal: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Barcelona, Zenit St Petersburg

Dynamo Kiev: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Zenit St Petersburg

Ghent: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Chelsea

TAREHE MUHIMU:
Raundi za Mtoano:

-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4

FAINALI
Mei 28

San Siro, Milan, Italy