Friday, January 29, 2016

FA CUP: DERBY COUNTY 1 v 3 MANCHESTER UNITED, ROONEY, JUAN MATA NA BLIND WAIPA USHINDI UNITED iPRO STADIUM! MAN U HAOO WASONGA RAUNDI YA 5.

Juan Mata kaifungia bao la tatu Man United dakika ya 83 baada ya kupata pasi safi kutoka Anthony Martial na kufanya Man United waongoze bao 3-1.Blind dakika ya 65 aliwapachikia bao la pili Man United nakufanya bao kuwa 2-11-1 Derby County Fc wamesawazisha bao kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko wakiwa nguvu sawa ya bao 1-1 na Manchester United. Rooney akishangilia bao lake dakika ya 16 kipindi cha kwanza.George Thorne aliisawazishia bao Derby katika kipindi hicho hicho dakika ya 37 na kufanya bao kuwa 1-1.Rooney Dakika ya 16 kapachika bao na Man United kutangulia kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Derby.Mhh!! Wayne Rooney alionekana kama alikuwa Offside kabla ya kupata pasi na kufunga bao la kwanza VIKOSI:
Derby Cou
nty walioanza XI: Carson, Christie, Keogh, Martin, Shackell, Johnson, Butterfield, Blackman, Ince, Thorne, Warnock
Derby Akiba: Grant, Bryson, Hendrick, Russell, Baird, Camara, Olsson
Manchester United walioanza XI: De Gea, Varela, Smalling, Blind, Borthwick-Jackson, Fellaini, Schneiderlin, Mata, Lingard, Martial, Rooney
Man Utd Akiba: Romero, McNair, Carrick, Herrera, Januzaj, Pereira, Memphis
kushoto ni Wayne RooneyManchester United Ed Woodward akiwa tayari kwenye Uwanja wa iPro Stadium kushuhudia Timu ya Man United ikifungua Dimba la FA CUP raundi ya Nne.Meneja wa Man United Louis Van Gaal akiwa kwenye Uwanja wa iPro usiku huu akitupia jicho kuona kama Timu yake itambeba leo hama vipi.