Thursday, January 7, 2016

FIFA LISTI YA UBORA DUNIANI: 20 BORA ZILEZILE, TANZANIA YAPANDA JUU NAFASI 6, BELGIUM BADO INATESA!

www.bukobasports.comBelgium imebaki Nambari Wani kwenye FIFA Listi ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo huku Tanzania ikipanda Nafasi 6.
20 Bora imebaki vilevile bila mabadiliko huko Mabingwa wa Dunia, Germany, wakiwa Nafasi ya 4.
Tanzania sasa ipo Nafasi ya 126 baada ya kupanda Nafasi 6 toka Mwezi uliopita.
Kwa Afrika, Timu ya juu kabisa kwenye Listi ya Ubora ni Ivory Coast ambayo ipo Nafasi ya 19.

"TOP 20" BORA:
1. Belgium
2. Argentina
3. Spain
4. Germany
5. Chile
6. Brazil
7. Portugal
8. Colombia
9. England
10. Austria
11. Uruguay
12. Switzerland
13. Ecuador
15. Italy
16. Romania
17. Wales
18. Croatia
19. Côte d'Ivoire
20. Hungary