Saturday, January 23, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 0 v 1 SOUTHAMPTON, CHARLIE AUSTIN AITUNGUA MAN U OLD TRAFFORD!

1-0Austin akipongezwaBao limefungwa na Charlie Austin dakika ya 87 na mtanange kumalizika kwa bao 1-0 dhidi ya Wenyeji Man United ndani ya Uwanja wa Old Trafford.