Sunday, January 3, 2016

KIRAFIKI: BUKOBA VETERAN YAIFUNGA BAO 2-1 TIMU YA ALL STARS MASAKA YA UGANDA LEO

Timu ya Masaka All Stars
Mwakalebela akishangilia bao lake baada ya kuitangulizia bao la mapema Bukoba VeteranAll Stars nao wakishangilia bao lao baada ya kufunga bao lao la pekee

Baadae walisogea Ufukweni Ziwa Victoria