Sunday, January 17, 2016

LA LIGA: REAL MADRID 5 v 1 SPORTING GIJON, BALE, RONALDO NA BENZEMA WAIONGOZA REAL KUPATA USHINDI MNONO LEO

Mabao ya Real Madrid yamefungwa na 
Gareth Bale 7
Cristiano Ronaldo 9
Karim Benzema 12
Cristiano Ronaldo 18
Karim Benzema 41


BA0 5 za Kipindi cha Kwanza zimewapa ushindi wa Bao 5-1 Real Madrid waliokuwa kwao Santiago Bernabeu wakicheza na Sporting Gijon katika Mechi ya La Liga.
Bao hizo 5 za Real zilufungwa na Gareth Bale, Bao 1, Cristiano Ronaldo na Karim Benzema waliofunga Bao 2 kila mmoja.
Gijon walifunga Bao lao pekee Kipindi cha Pili kupitia Lopez Isma.