Sunday, January 31, 2016

LA LIGA: REAL MADRID 6 v 0 ESPANYOL, RONALDO APIGA HAT-TRICK!

Real Madrid bao zimefungwa na Karim Benzema dakika ya 7
Cristiano Ronaldo dakika ya 12 kapachika bao kwa mkwaju wa penati.
James Rodríguez kafunga bao dakika ya 16

 Espanyol bado hawajapata kitu...