Tuesday, January 26, 2016

CAPITAL ONE CUP: LIVERPOOL 0 v 1 STOKE CITY(Agg 1-1), LIVERPOOL WASONGA MBELE KWA MIKWAJU YA PENATI 6-5

Shangwe....Mtanange wapigwa dakika 120 na mikwaju ya penati kuamuaDakika ya 45 kipindi cha kwanza Marko Arnautovic kaipatia bao Stoke na kwenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Liverpool.