Saturday, January 16, 2016

FULL TIME: ASTON VILLA 1 v 1 LEICESTER CITY, RUDY GESTEDE AIOKOA VILLA! LEICESTER WARUDI KILELENI!

Aston Villa walisawazisha bao kuitia kwa Rudy Gestede kiindi cha pili dakika ya 75 baada ya mabeki wa Villa kujichanganya wakijua Rudy kaunawa mpira.
Leicester City walipata bao lao kupitia kwa Shinji Okazaki dakika ya 28
Patashika