Sunday, January 24, 2016

FULL TIME: EVERTON 1 v 2 SWANSEA CITY, AYEW AMFURAHISHA MENEJA MPYA KWA KUIPA TIMU USHINDI!

Everton wamepata bao kupitia kwa Jack Cork dakika ya 26 bao la kujifunga wao wenyewe Swansea na kutoa zawadi hiyo ya bao kwa wapinzani wao.
Swansea City bao zake zimepatikana kupitia kwa Gylfi Sigurdsson 17 ka mkwaju wa penati na Andre Ayew dakika ya 34 alipachika bao la ushindi la pili na mtanange kumalizika kwa dakika 90, Swansea wakifanikiwa kuwabana kisawasawa Everton na kuibuka kidedea.