Saturday, January 23, 2016

FULL TIME: NORWICH CITY 4 v 5 LIVERPOOL, ADAM LALLANA AFANYA MAAJABU UGENINI CARROW ROAD, AFUNGA BAO LA USHINDI DAKIKA ZA MAJERUHI

Mbele ya Mashabiki wapatao 27108 tukishuhudia mtanange wa aina yake Liverpool wakiifunga timu ya Norwich City kwa taabu mpaka dakika za mwishoni bao 5-4. Raha ya ushindiAdam  Lallana akipongezwa na Firmino
Norwich City bao zake zimefungwa na
Dieumerci Mbokani 29

Steven Naismith 41' •
Wes Hoolahan 54' PEN •
Sebastien Bassong 90' +2' •

 Liverpool bao zake zimefungwa na
• Roberto Firmino 18'
• Jordan Henderson 55'
• Roberto Firmino 63'
• James Milner 75'
• Adam Lallana 90' +5' 
Ushindi kwenye dakika za majeruhiKipa wa Norwich Rudd na Sebastien wakiwa hoi...5-4 huko Carrow Road. Firmino ndiye aliyeisawazishia bao Liverpool kwa kufanya 3-3