Saturday, January 2, 2016

FULL TIME: WATFORD 1 v 2 MANCHESTER CITY, SERGIO NA YAYA TOURE WAIPA MATUMAINI CITY LEO!

1-0 Aleksandar Kolarov Kajifunga bao dakika ya 55 kipindi cha pili na kuwapa zawadi ya bao Watford. Yaya Toure aliisawazishia bao Man City na kufanya bao kuwa 1-1. Sergio Ag├╝ero dakika ya 84 alipachika bao la ushindi na kufanya City waongoze mtanange huo kwa kuibuka kidedea kwa ushindi wa bao 2-1.