Saturday, January 23, 2016

WEST HAM 2 v 2 MANCHESTER CITY, AGUERO AIOKOA CITY....WAKIUMALIZA KWA SARE!

Aguero aliisawazishia bao Man City dakika ya 81 kwa kufanya 2-2 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa sare. Matokeo haya yameiacha City Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 4 nyuma ya Vinara Leicester City na Pointi 1 nyuma ya Arsenal ambao wako Nafasi ya Pili.2-2
Valencia kawa[a bao la pili West Ham 2-1 dhidi ya Man CityBao la West Ham United limefungwa mapema dakika ya 1 na Enner Valencia.
Bao la Manchester City limepatikana kwa kupitia mkwaju wa penati dakika ya 9 kufungwa na Sergio Ag├╝ero na kufanya 1-1.
1-1