Sunday, January 24, 2016

FULL TIME: YANGA 3 v 0 FRIENDS RANGERS


Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Friends Rangers, Samweli Mathayo katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Habari Mseto Blog).Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimtoka kipa wa Friends Rangers, Alphonce Raphael katika mchezo wa kombe la FA uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.