Friday, January 22, 2016

MAN UNITED WAKANA KUKUTANA NA PEP GUARDIOLA

WWW.BUKOBASPORTS.COMMeneja wa Bayern Munich Pep GuardiolaManchester United wamekanusha habari kwamba walikutana na kuzungumza na meneja wa Bayern Munich Pep Guardiola kuhusu uwezekano wake kuwa meneja wao.
Tovuti ya France Football ilikuwa imesema mkutano huo ulifanyika mjini Paris lakini United wamesema habari hizo si za kweli.
Meneja wa sasa wa United Louis van Gaal amekabiliwa na shinikizo baada ya klabu hiyo kutofanya vyema ligini Uingereza na Ulaya..