Sunday, January 10, 2016

MAPINDUZI CUP 2016: YANGA 1 v 1 URA(PENATI 3-4) URA WASONGA MBELE....WAKO FAINALI DHIDI YA MTIBWA.

Dakika ya 77 URA walisawazisha kwa kufanya 1-1 na mtanange kumalizika dakika 90. Kwenye matuta  URA walifanikiwa kusonga mbele kwa kuibuka na ushindi wa penati 4-3 dhidi ya Yanga. Fainali sasa  ni Kati ya Mtibwa Sugar na URA ya Uganda siku ya Jumatano tarehe 13 usiku saa 2:30. Khamisi Tambwe aliipa bao dakika ya 13
PENATI 

Faustine Ruta URA wanakosa penati nao ya 2
Like · Reply · 1 min
Faustine Ruta
Faustine Ruta Yanga wanakosa penati ya tatu(3)
Like · Reply · Just now


Faustine Ruta
Faustine Ruta URA wanaenda sasa kupiga penati ya 3
Faustine Ruta
Faustine Ruta URA wanapata penati ya tatu
Faustine Ruta
Faustine Ruta Yanga 1-2 URA
Faustine Ruta
Faustine Ruta URA wanapata penati ya 4
Faustine Ruta
Faustine Ruta 2-3 sasa
Faustine Ruta
Faustine Ruta Dida nae anapata penati
Faustine Ruta
Faustine Ruta Goooooooooooal ..........3-4 URA wanasonga Fainali