Friday, January 8, 2016

MCHEZAJI BORA AFRIKA 2015


MCHEZAJI wa Kimataifa wa Tanzania anaekipiga na timubya TP Mazembe ya Congo DRC, Mbwana Aly Samatta akiwa amelala huku amejifunika bendera ya Taifa aliyoipeperusha vyema na kutwaa Tuzo ya Mchezaji Soka Bora wa Afrika anaecheza ligi za Ndani 2015. Samatta alitwaa tuzo hiyo usiku wa kuamkia leo huko Abuja Nigeria.
www.bukobasports.com inakupa pongezi kubwa Samatta